Ukubali ukatae injini yake sio vumilivu kama unachelwesha service, naongea hivyo sio kwa kubahatisha.Mimi natumia Starlet kwa muda tu,na hii namba 4 umetudanganya..mimeshakua na Carina,Corolla,Rav4 old na hii Starlet..ni ka gari kagumu na kanakimbia vzr na matumizi siyo mabaya..engine yake ni imara maana ni kama inakaribiana na baadhi ya Carina engine.
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Hivi hawa jamaa wanaouza mafuta wanatuona sisi mafala sana. Kwann mafuta yapo bei ambayo sio.... Me nilitaraji kwa sasa at least tungenunua petrol kwa 1500 hivi kwa lita ila wapo bado kwenye 1800Dah mkuu unamenya sana basi. Hasa ukiwa mkoani ndio raha zaidi.
Natamani kama Corona iendelee ili mafuta yazidi kushuka kmmmk. [emoji23][emoji23][emoji23] yafike hata buku kwa litre wahuni tutambe juu ya mkeka.
Hahaha wanazingua ila huku nilipo Total ni 1700 msimamo.Hivi hawa jamaa wanaouza mafuta wanatuona sisi mafala sana. Kwann mafuta yapo bei ambayo sio.... Me nilitaraji kwa sasa at least tungenunua petrol kwa 1500 hivi kwa lita ila wapo bado kwenye 1800
Mwezi huu huku nilipo wese ni Tsh 1687Hahaha wanazingua ila huku nilipo Total ni 1700 msimamo.
Hahahahah da mnamenya sanaMwezi huu huku nilipo wese ni Tsh 1687
Mwezi huu huku nilipo wese ni Tsh 1687
Hahaha wanazingua ila huku nilipo Total ni 1700 msimamo.
moshiWapi huko hapa Dar au
Naunga mkono hoja. Ist, vtz na spacio zina teknolojia mpya kuliko Starlet...Ukubali ukatae injini yake sio vumilivu kama unachelwesha service, naongea hivyo sio kwa kubahatisha, starlet ikizungusha biashara imeisha, tofaut na 1nz injin au 2nz, nilisha kuwa na starlet ilipo zungusha haikuweza kwenda umbali mrefu, ila 2nz ilizungusha bukoba baada ya kuweka oil fake, tukabadili oili na ikatembea had Dar, je starlet unadhan ingeweza kufanya hvyo...
Mkoa gani huo....?Hivi hawa jamaa wanaouza mafuta wanatuona sisi mafala sana. Kwann mafuta yapo bei ambayo sio.... Me nilitaraji kwa sasa at least tungenunua petrol kwa 1500 hivi kwa lita ila wapo bado kwenye 1800
yan ata boda boda anakudharau fujo nying road jichange mkuu upate hata carina au crester old model.
Naunga mkono hoja....Ist, vtz na spacio zina teknolojia mpya kuliko Starlet...
moshi
Kwa kuanzia gari nzuri sana.. au kama una mishe za hapa na pale kwa mjini ni nzuri sana. Kumbuka hakuna stalert mayai, zote ni chuma.
Spea zake zinapatikana vizuri tuu.
Kwa hiyo budget yako ya 5milioni ina maana unataka kununua gari (Starlet, Vitz, Passo) kutoka mkononi kwa mtu na sio uagize Japan au kutoka showroom.Kaka naomba unishauri. Najichanga nifikishe 5 mil. nitafute gari ndogo kati ya Passo, Vitz, Starlet (najua kupata IST kwa bei hiyo mtihan).
Je naweza kupata kweli kwa bei hiyo?
Halafu nataka hiyo milioni 5 ijumuishe hadi BIMA ya gari (sijui ndio mnaita licence)