Tanzania hatuna system ya zip code badala yake tunatumia system ya postal code au anuani za makazi, kila mkoa unayo namba yake, sema mkoa uliopo tukuwekee. Hiyo code huwa na five digits, mfano 25101 - mbeya .
Kuhusu card bonyeza kwenye add card hapo utaletewa sehemu za kujaza card number sio akaunti namba na cvv code hii huwa nyuma ya card zinakuwa namba tatu.