Naomba kujuzwa Shule nzuri kwa mtoto kujifunza kupiga vyombo

Naomba kujuzwa Shule nzuri kwa mtoto kujifunza kupiga vyombo

passion_amo1

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2023
Posts
1,828
Reaction score
3,922
Wakuu habari za uzima?

Nilikuwa nahitaji kufahamu shule zinafondisha watoto kupiga ala za mziki.

Nahitaji kumtoa mwanangu kanisani sababu mwalimu anayemfundisha mda mwingi anakuwa busy.
Nilijaribu kufatilia moja maeneo ya shabaan Robert ada kidogo juu.

Mwenye ufahamu wa hili anijuze

Karibuni.
 
Karibu ujiunge na Mafunzo ya Violin kwa Muhula wa JANUARY, kukiwa na OFFA ya punguzo la Bei kwa 25%

Kujiunga Wasiliana Nasi:
[emoji336]Simu/Whatsapp: 0767481292
[emoji625] Kimara Mwisho
[emoji549] Pentanote Music School
seen
 
wacheki hao
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    42.6 KB · Views: 7
Back
Top Bottom