passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Nimekuja mbio maana heading ni kujifunza kupiga vyombo.Wakuu msaidieni basi mtoa mada
Ipo wapi mkuu?Cheki na pentatone
Ipo wapi mkuu?
seenKaribu ujiunge na Mafunzo ya Violin kwa Muhula wa JANUARY, kukiwa na OFFA ya punguzo la Bei kwa 25%
Kujiunga Wasiliana Nasi:
[emoji336]Simu/Whatsapp: 0767481292
[emoji625] Kimara Mwisho
[emoji549] Pentanote Music School