Naomba kujuzwa shule nzuri ya english medium iliyopo karibu na Mbezi Makabe

nguvusimba

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2020
Posts
1,124
Reaction score
1,839
Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe.

Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi mazuri. Shule inayomilkiwa na taasisi za kidini- wakristu zitanivutia zaidi.

Ahsante sana.
 
St.Anns, Makabe hiltop, barney, Safi schools nyingine iko kwa juu bochi karibu na kibanda cha mkaa. Jaribu kuzifuatilia kwa karibu kujua kama zina sifa utakazo.
 
Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe.

Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi mazuri. Shule inayomilkiwa na taasisi za kidini- wakristu zitanivutia zaidi.

Ahsante sana.
Kuna Ekaruwa ipo hapo Msakuzi
 
Mother Emilie Dorman Pre and Primary School. Ipo Kibanda cha mkaa. Wana School bus inayofika Makabe. Ni ya Roman Catholic. Ada yao ni nafuu sana. Kwa mwaka ada na chakula haizidi 650,000

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom