nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,124
- 1,839
St.Anns, Makabe hiltop, barney, Safi schools nyingine iko kwa juu bochi karibu na kibanda cha mkaa. Jaribu kuzifuatilia kwa karibu kujua kama zina sifa utakazo.Habari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe.
Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi mazuri. Shule inayomilkiwa na taasisi za kidini- wakristu zitanivutia zaidi.
Ahsante sana.
Kuna Ekaruwa ipo hapo MsakuziHabari wanajamvi, naomba kujuzwa shule nzuri yenye nafasi ya kuhamia ya english medium iliyopo karibu na mbezi makabe.
Ninataka kuwahamishia watoto wangu wawili, darasa la nne mwakani na darasa la pili. pia mdogo wao anatarajia kuanza chekechea ya watoto. Iwe na matokeo mazuri na malezi mazuri. Shule inayomilkiwa na taasisi za kidini- wakristu zitanivutia zaidi.
Ahsante sana.
Ahsante sana nilijafanikiwa BarneySt.Anns, Makabe hiltop, barney, Safi schools nyingine iko kwa juu bochi karibu na kibanda cha mkaa. Jaribu kuzifuatilia kwa karibu kujua kama zina sifa utakazo.
mkuu, ada ni kiasi gani hapo Barney?Ahsante sana nilijafanikiwa Barney