Naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano na sita yenye academy

Big Eagle

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2020
Posts
592
Reaction score
625
Wadau sina mengi ila naomba kujuzwa shule ya kidato cha tano inayo fundisha mchezo wa mpira wa miguu
 
Msaada mwenye kujua shule ya kidato cha tano yenye kufundisha mchezo wa mpira wa miguu hapa Tanzania au nje ya Tanzania anipe contact zao.
 
Mi sijui, Ila kukutahadharisha tu "Form five inatakiwa awe ameshaanza kuchezea timu as a professional player".
Kuchenza anacheza sana ndo maana anataka kuinuka zaidi
 
Msaada mwenye kujua shule ya kidato cha tano yenye kufundisha mchezo wa mpira wa miguu hapa Tanzania au nje ya Tanzania anipe contact zao.
Fountain Gate na Alliance school ya Mwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…