Naomba Kujuzwa Sifa za Wanawake wa Kabila la Wasukuma

Naomba Kujuzwa Sifa za Wanawake wa Kabila la Wasukuma

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,723
Reaction score
19,715
Wakuu,
Nataka niende mkoani shinyanga kutafuta mwanamke/binti wa kuoa,

Nijuzeni sifa za wanawake wa kabila hili.
"TANZANIA MPYA ITAKUJA BAADA YA KATIBA MPYA"
 
Wako powa sanaa me nawapenda wako wazi hawajui kuingiza, jitahid upate mweupe ila jipange kwa mahali
 
Wapole, wakarimu hawana mambo ya tuma na yakutolea, na hawana mambo ya U- Khadijah Kopa ama Bi tozo yakupenda mipasho kwa ujumla wengi ni "WIFE MATERIAL " ila jitahidi anayetoka familia ya wafugaji !
kwa nini iewe anayotoka family ya wafugaji mkuu?
 

Ututajie ni jamii gani ya kisukuma maana wana tabia na sifa tofauti.
1)Wanyantuzu
2)Wanasa
3) Wanyanzegeli
4)Wanyeng'weli
5)Wazinza
6) Wadakama(debatable)
7)Wasumbwa

Hapa kila jamii Ina tabia zake, jichanganye sasa
wadakama mkuu! Ila naona una elements za kulijia kabila la kisukuma kiundani. Nitakutafta pm
 
Wakuu,
Nataka niende mkoani shinyanga kutafuta mwanamke/binti wa kuoa,

Nijuzeni sifa za wanawake wa kabila hili.
"TANZANIA MPYA ITAKUJA BAADA YA KATIBA MPYA"
1.Wachapakazi.
2. Wana upendo wa dhati.
3. Wana heshima.
4. Waaminifu sana.
5. Washamba.
 
Kama ilivyo dar kila baada ya nyumba grocery ndivyo ilivyo kila baada ya nyumba kuna mganga au mchawi
 
Back
Top Bottom