Tumbili in town
JF-Expert Member
- Jun 20, 2025
- 446
- 769
KwakoUpate wapi
KwakoUpate wapi
Kuna wasukuma weupee?Wako powa sanaa me nawapenda wako wazi hawajui kuingiza, jitahid upate mweupe ila jipange kwa mahali
Ni balaaWatoto wa Kisukuma.
Ile Lafudhi yao huwa naipenda sana wanapoongea Kiswahili.
Yeah wapo tena wengi tuu. Uweupe wao mzuri sanaa!! Sema mahari yao imechangamka kidogo.Kuna wasukuma weupee?
Bas sawaaYeah wapo tena wengi tuu. Uweupe wao mzuri sanaa!! Sema mahari yao imechangamka kidogo.
Wanaingia period kila mweziWakuu,
Nataka niende mkoani shinyanga kutafuta mwanamke/binti wa kuoa,
Nijuzeni sifa za wanawake wa kabila hili.
"TANZANIA MPYA ITAKUJA BAADA YA KATIBA MPYA"

Ili kutoa mikosi iyo kawaida mkuu ili mtot azaliwe salaamaNi wakarimu sana na wapole ila kwa kuoga dawa sasa akipata mimba ataoga dawa mpk aze
Familia za kifugaji zina maadili sn kwa sababu kuna kitu kinaitwa "Shikome" ambayo ni sehemu ya kukutana kila jioni kula na kujadili miongozo ya kila siku na kutoa marejesho ya maazimio yaliyofanyia ikiwa ni pamoja na kujadili mwenendo mzima wa familia...kwa nini iewe anayotoka family ya wafugaji mkuu?