Duh basi balaaaKatika kila 10,tisa wachawi wanaopaa na ungo
kwa nini iewe anayotoka family ya wafugaji mkuu?Wapole, wakarimu hawana mambo ya tuma na yakutolea, na hawana mambo ya U- Khadijah Kopa ama Bi tozo yakupenda mipasho kwa ujumla wengi ni "WIFE MATERIAL " ila jitahidi anayetoka familia ya wafugaji !
Popote utakapooa hakikisha unaoa BIKRAWakuu,
Nataka niende mkoani shinyanga kutafuta mwanamke/binti wa kuoa,
Nijuzeni sifa za wanawake wa kabila hili.
"TANZANIA MPYA ITAKUJA BAADA YA KATIBA MPYA"
TwenekiWapole, wakarimu hawana mambo ya tuma na yakutolea, na hawana mambo ya U- Khadijah Kopa ama Bi tozo yakupenda mipasho kwa ujumla wengi ni "WIFE MATERIAL " ila jitahidi anayetoka familia ya wafugaji !
wadakama mkuu! Ila naona una elements za kulijia kabila la kisukuma kiundani. Nitakutafta pm
Ututajie ni jamii gani ya kisukuma maana wana tabia na sifa tofauti.
1)Wanyantuzu
2)Wanasa
3) Wanyanzegeli
4)Wanyeng'weli
5)Wazinza
6) Wadakama(debatable)
7)Wasumbwa
Hapa kila jamii Ina tabia zake, jichanganye sasa
Za kichinaPopote utakapooa hakikisha unaoa BIKRA
CC : Rebeca 83 binti kiziwi Binti wa zamani Xi Jinping Natafuta Ajira
KwaniniZa kichina
Noma sanaKatika kila 10,tisa wachawi wanaopaa na ungo
1.Wachapakazi.Wakuu,
Nataka niende mkoani shinyanga kutafuta mwanamke/binti wa kuoa,
Nijuzeni sifa za wanawake wa kabila hili.
"TANZANIA MPYA ITAKUJA BAADA YA KATIBA MPYA"
Upate wapiKwanini