Ni kweli uko sahihi sana,lakini jambo gumu ni kuwa huwezi kupona bila kujaribu kwa kuogopa kutapeliwa.Unapokuwa na ugonjwa siyo lazima upone,kuna magonjwa mengine unakuta ndiyo Mungu amepanga iwe njia ya mtu kuondoka duniani.Nenda mhimbili,Bugando na kila mahali mpaka appolo India,watu wanafariki kwa changamoto mbalimbali za magonjwa na hakuna anayesema wametapeliwa.Ili uweze kupata tiba lazima ukubali kwanza kutibiwa,you never know unaweza kupona katika kile unachokiona kukipuuza.Ninamtia moyo Dada azidi kupambana kutafuta tiba,tena katika magonjwa mepesi kupona katika dawa za mimea ni pamoja na vimbe kwenye kizazi!!