Umri umeshaenda huo .
Na bila shaka huo uvimbe unaosemea itakuwa ni uterine fibroid maana unachochewa na kama hivyo kuwa na low parity(kuzaa watoto wachache mfano mtoto mmoja) ,nulliparity(kutowahi kuzaa kabisa) ,hormonal imbalance kama vile higher level of oestrogen ,na mara nyingi kadri oestrogen inavyoongezeka na ka fibroid kana ongezeka.
Pia unavyozidi kuchelewa unakuwa kwenye risk kubwa ya mimba kutunga nje ya mji wa mimba (Uterus), hiyo misuli inakuwa inachoka inapelekea kupata cervical incompetence mimba zitaishia kutoka tu.
DR Mambo Jambo