Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

Hakuna wa kujali
Unajua wakati mwingine ukifatilia Sanaa jambo linakuwa kubwa Sanaa akili zetu huwa zinaunda matatizo hata ambayo hayapo. Ajaribu kuzaa ikishindikana ndo arudi hapa apewe ushauri mwingine lasivyo atafanyiwa operation za kutosha mwisho wamtoe na kizazi chenyewe
Ndugu yangu kuzaa hukurupuki,
Na upate huyo wa kuzaa nae, uwe na uwezo wa kulea,
Nami kwenye mapenzi Sina bahati so Sina mtu hata wa kumfikiria nitaweza kuzaa nae, labda waume za watu, na kitu ambacho sijawahi fanya na sitaki kufanya kudate hao waume za watu.
 
Habari zenu ndugu zangu.

Mimi ni binti wa miaka 26, sijaolewa na Sina mtoto.

Mwaka Jana nilisumbuliwa sana uvimbe kwenye mayai mpaka ikapelekea kufanya upasuaji nikiwa na matumaini nimepona.

Ila sasa umerudi tena, na unakua kwa kasi, sasa nna uvimbe wa Centimeter 10, daktari wa wanawake amenambia nifanye tena upasuaji.

Sasa kama nilifanya umerudi nahofia utarudi tena,

Kama Kuna mtu anajua suluhisho ya hili naomba msaada hata wa tiba za asili.
. Cm 10 ni kubwa hivyo operation inahitijika.
. Jitahidi uzae pia...
 
Kama umesoma vizuri, nilishotolewa umerudi tena so naomba ushauri wa njia mbadala
namim pia nmekwambia,, mamangu katolewa kwa operation zaidi ya mara 2,,alijaribu kutumia njia m'badala lakini hazikusaidia bali ulizid kukua na kutumia damu yake😄 akaanza kuishishwa damu,anaanguka tu, hawez kutembea umbali mrefu,kupanda mlima hawezi,,kwenda hospital anatolewa minyama inakilo za mtoto.
 
Habari zenu ndugu zangu.

Mimi ni binti wa miaka 26, sijaolewa na Sina mtoto.

Mwaka Jana nilisumbuliwa sana uvimbe kwenye mayai mpaka ikapelekea kufanya upasuaji nikiwa na matumaini nimepona.

Ila sasa umerudi tena, na unakua kwa kasi, sasa nna uvimbe wa Centimeter 10, daktari wa wanawake amenambia nifanye tena upasuaji.

Sasa kama nilifanya umerudi nahofia utarudi tena,

Kama Kuna mtu anajua suluhisho ya hili naomba msaada hata wa tiba za asili.
Usifanye operation,ingia Instagram tafuta fertility _peek
kuna DK anawasaidia sana wanawake wenye changamoto hizi
 
namim pia nmekwambia,, mamangu katolewa kwa operation zaidi ya mara 2,,alijaribu kutumia njia m'badala lakini hazikusaidia bali ulizid kukua na kutumia damu yake😄 akaanza kuishishwa damu,anaanguka tu, hawez kutembea umbali mrefu,kupanda mlima hawezi,,kwenda hospital anatolewa minyama inakilo za mtoto.
Huyu alikua na ovarian cyst au fibroids, maana ovarian cyst inakua na fluids ndani hizo nyama za wapi, kama fibroids inamaliza damu sana ndio
 
Sijajipanga kuzaa sasa
Umri umeshaenda huo .

Na bila shaka huo uvimbe unaosemea itakuwa ni uterine fibroid maana unachochewa na kama hivyo kuwa na low parity(kuzaa watoto wachache mfano mtoto mmoja) ,nulliparity(kutowahi kuzaa kabisa) ,hormonal imbalance kama vile higher level of oestrogen ,na mara nyingi kadri oestrogen inavyoongezeka na ka fibroid kana ongezeka.

Pia unavyozidi kuchelewa unakuwa kwenye risk kubwa ya mimba kutunga nje ya mji wa mimba (Uterus), hiyo misuli inakuwa inachoka inapelekea kupata cervical incompetence mimba zitaishia kutoka tu.

DR Mambo Jambo
 
Ndugu Asante kwa kunijibu!
Mimi Nina ovarian cyst sio fibroids,
Na kuzaa sio suala la umri ni uwezo wa kulea mtoto, napenda sana watoto, sana, ila namtunzaje
 
Back
Top Bottom