Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

Umri umeshaenda huo .

Na bila shaka huo uvimbe unaosemea itakuwa ni uterine fibroid maana unachochewa na kama hivyo kuwa na low parity(kuzaa watoto wachache mfano mtoto mmoja) ,nulliparity(kutowahi kuzaa kabisa) ,hormonal imbalance kama vile higher level of oestrogen ,na mara nyingi kadri oestrogen inavyoongezeka na ka fibroid kana ongezeka.

Pia unavyozidi kuchelewa unakuwa kwenye risk kubwa ya mimba kutunga nje ya mji wa mimba (Uterus), hiyo misuli inakuwa inachoka inapelekea kupata cervical incompetence mimba zitaishia kutoka tu.


DR Mambo Jambo
Aloooh kumbe humu ndani kuna vichwa balaa🙌🏾🙌🏾wacha niendelee kuchukua elimu
 
Umejuaje huna fibroid?

Je umefanyiwa kipimo cha trans vaginal ultrasound(TVS) ili ku confirm huo uvimbe upo wapi?
Duuh we kaka!
Mara ya mwisho nafanya surgery nilitolewa uvimbe kwenye mayai, na sasa umerudi kwenye mayai, fibroids tumbo linauma katikati chini, rafiki yangu alikua nayo, ovarian cyst ni upande mmoja ndio tumbo linauma
 
Khaah wew hii kali aseee,, hatakama ni matope utakula nae😄,,nikufundshe jinsi ya kumpata kwamba hutongozwi😳😳
Ngoja nikwambie kitu!
Unachoona unafanyiwa wewe kwenye maisha, usidhani na Kila mtu anafanyiwa, natongozwa sana na waume za watu na Wana pesa haswa, ndo nizae na hao?!
 
Ngoja nikwambie kitu!
Unachoona unafanyiwa wewe kwenye maisha, usidhani na Kila mtu anafanyiwa, natongozwa sana na waume za watu na Wana pesa haswa, ndo nizae na hao?!
ndugu wewe,,hakuna cha muhimu nachofanyiwa kwenye haya maisha,,ila ni for the sake of ur future,,na uzur tatizo umeliona litapelekea ukose mtoto baadae.
 
Back
Top Bottom