Naomba kujuzwa suluhisho la Uvimbe kwenye Ovary

Yani hapo shida ni kujua wapi wanauza dawa ambazo ni sahihi zinatibu
 
pole mama utapona na utazaa handsome kama mimi..
 
Nianze kukuambia Mungu hapangi watu wafe na ugonjwa fulani. Ingekuwa hivyo basi kusingekuwa na sababu ya kutibiwa wala kuomba tunapougua. Pili Kufia hospital pamoja baada ya madaktari kushindwa tiba siyo utapeli bali inaweza kuwa kuna sababu nyingi. Tatu matapeli wenye kujifanya wana dawa za kutibu ugonjwa fulani wako wengi sana na ni lazima watu wachukuwe tahadhari. Kuna ugumu gani kama unadhani dawa yako ya miti shamba inatibu ugonjwa fulani iwapo utampa mgonjwa akishapona ndiyo akulipe?
 
Umejibu vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…