So mnatuibia ili mpate faida zaidiNikisimama upande wa mteja nakuelewa vizuri ila ndo hivyo
Wakiwa wawili sawa. Ila mmoja,hakuna kuongeza.Mi nitakua flexible.
Sitamgingea mteja ifikapo nne kamili na pia sitaona shida kumuongezea muda kidogo
Asante mkuu๐Mbona mpka sasa sijaona picha? Tunaolala lodge za bei rahisi ndio tunakutana na vimbwanga kwenye masharti
View attachment 3074406
kupiga kelele na kuwa kero kwa wengine hairusiwiAsante.
Ukikumbuka na mengine ongezea mkuu
Would you like niweke na nyingine in the future?