Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

Naomba kujuzwa taratibu/masharti yanayoandikwa Guest House au Lodge

Mbona mpka sasa sijaona picha? Tunaolala lodge za bei rahisi ndio tunakutana na vimbwanga kwenye masharti

20240819_223927.jpg
 
1.Usinye juu ya kitanda 2. Usikojoe chini, 3. Kama mna uti na magonjwa ya azinaa msitumie mataulo ya guest ili kuepuka maambukizi, 4 kama nyie hamuoani mtumie king ili kuepusha ngono zembe kifungu kidogo cha sheria namba b ili msipate gono, 5. Msipige kelele kuwasumbua walichoka nasafari na kazi zao za kutwa. Ikifika saa nne asubuhu tokeni mkiwa hamjaiba mashuka na mito na ndala,zilizokatwa mbele .BY UTAWALA
 
Yaani hiyo heading nilijua ndio unajiandaa kuingia for the first time
 
Yaani hiyo heading nilijua ndio unajiandaa kuingia for the first time
😀😀😀
Na ndio hivyo mie bado kuingia guest hapa naulizia kiujanja najiandaa kisaikolojia siku nikienda😜
 
Back
Top Bottom