Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

Japo sikuambiwa hilo hospital, niliambiwa ni uric acid ipo juu.
Hata kama kesi ni hiyo mkuu, nitumie dawa zipi ndugu.

Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini.

Natanguliza shukrani
Pole sana ndugu, hata miki milikuwa na hii shida ilinisumbua sana, zaidi ya mwaka mmoja nilitumia dawa sana lakini sikupata nafuu.

Hata hivyo nilimpata Dr. Mmoja alinipa somo vizuri sana.

Alinipa Dawa aina ya Allopurinol hii inapambana na uzalishaji wa Uric Acid mwilini nilipewa dawa ya kutumia wiki 8, pamoja na zankutuliza maumivu Ibuprofen na baadaye Indomethacin, Dawa hizi ziliniponya mpaka leo nipo vizuri kabisa.

Sambamba na Dawa hizo nilipewa masharti yafuatayo:-

1. Usinywe Pombe hasa Beer (Hapa ilikuwa mtihani sana ndiyo maana awali pamoja na kitumia dawa nilikuwa nakatiza doze sana

2. Nisitumie kabisa Nyama Nyekundu hasa maini, mapupu, moyo na damu ( Nilikuwa mtimiaji mzuri sana wa hizi organs za mbuzi tulikuwa tinachanganya na damu na nyama ya mbuzi naitwa Udee

3. Kunywa maji ya kutosha lita zisizopungia 3 kwa siku, kumbuka kunywa maji mengi wakati wa kumeza Dawa Allopurional

4. Fanya mazoezi angalau dk 15-20 daily au 30-60 weekend.

4. Epuka Njegere, ina kiasi kikubwa cha purine ambayo mdiyo mama wa kuzalisha Uric Acid.

5. Tumia zaidi matunda na mboga mboga

6. Epuka soda kwa kiasi kunywa Soda water hii ina alcaline insaidia kupunguza acid kwa damu.

Ukifuata masharti haya yote na kutumia dawa kwa uangalifu nakuhakikishia utapona kabisa.

Utakuja kunishukuru na ulete na ushuhuda hapa
Nashukuru sana mkuu, hizo dawa zinaitwa Allopurinol zinapatikana kwa phamarcy zetu hapa Tz?
Yes na kama una Bima zinapatikana pia
 
nashukuru Mkuu.
 
Huu mlonge unautumiaje mkuu...????
Mimi nina mti hivyo kila siku asbh nachemsha majani nakunywa maji yake. Kama huna mti, unakausha majani yake unasaga unahifadhi. Unachemsha kila siku unga kama vijiko viwili au vitatu vya chakula kwa lita 1½.
 
Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini.

Natanguliza shukrani
Tumia vidonge vya FEBUXOSTAT kidonge kimoja kwa siku kwa muda wa miezi sita huku ukipunguza vichocheo haswa nyama nyekundu, figo, maini na kikubwa pombe
Mimi nilikuwa mgonjwa kwa miaka ishirini hadi nilipo kutana na Mabingwa hospital ya Muhimbili
 
Pole sana ndugu, hata miki milikuwa na hii shida ilinisumbua sana, zaidi ya mwaka mmoja nilitumia dawa sana lakini sikupata nafuu.

Hata hivyo nilimpata Dr. Mmoja alinipa somo vizuri sana.

Alinipa Dawa aina ya Allopurinol hii inapambana na uzalishaji wa Uric Acid mwilini nilipewa dawa ya kutumia wiki 8, pamoja na zankutuliza maumivu Ibuprofen na baadaye Indomethacin, Dawa hizi ziliniponya mpaka leo nipo vizuri kabisa.

Sambamba na Dawa hizo nilipewa masharti yafuatayo:-

1. Usinywe Pombe hasa Beer (Hapa ilikuwa mtihani sana ndiyo maana awali pamoja na kitumia dawa nilikuwa nakatiza doze sana

2. Nisitumie kabisa Nyama Nyekundu hasa maini, mapupu, moyo na damu ( Nilikuwa mtimiaji mzuri sana wa hizi organs za mbuzi tulikuwa tinachanganya na damu na nyama ya mbuzi naitwa Udee

3. Kunywa maji ya kutosha lita zisizopungia 3 kwa siku, kumbuka kunywa maji mengi wakati wa kumeza Dawa Allopurional

4. Fanya mazoezi angalau dk 15-20 daily au 30-60 weekend.

4. Epuka Njegere, ina kiasi kikubwa cha purine ambayo mdiyo mama wa kuzalisha Uric Acid.

5. Tumia zaidi matunda na mboga mboga

6. Epuka soda, Sukari na Juice yenye kuongezwa sulari kwa kiasi kidogo kunywa Soda aina ya Soda Water hii ina alcaline insaidia kupunguza acid kwa damu.

Ukifuata masharti haya yote na kutumia dawa kwa uangalifu nakuhakikishia utapona kabisa.

Utakuja kunishukuru na ulete na ushuhuda hapa.
Hapo kwenye njegere umenichosha ! Maana menu yangu haikamiliki bila hIzo
Anyway ngoja nipambane
 
nashukuru

Nashukuru sana mkuu, naweza kukucheki pm?
 
Safi
 
Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.

Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini.

Natanguliza shukrani
Acha kula nyama nyekundu na ikiwezekana ACHA au PUNGUZA KULA NYAMA mkuu.
 
Japo sikuambiwa hilo hospital, niliambiwa ni uric acid ipo juu.
Hata kama kesi ni hiyo mkuu, nitumie dawa zipi ndugu.

Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini.

Natanguliza shukrani
Pole sana ndugu, hata miki milikuwa na hii shida ilinisumbua sana, zaidi ya mwaka mmoja nilitumia dawa sana lakini sikupata nafuu.

Hata hivyo nilimpata Dr. Mmoja alinipa somo vizuri sana.

Alinipa Dawa aina ya Allopurinol hii inapambana na uzalishaji wa Uric Acid mwilini nilipewa dawa ya kutumia wiki 8, pamoja na zankutuliza maumivu Ibuprofen na baadaye Indomethacin, Dawa hizi ziliniponya mpaka leo nipo vizuri kabisa.

Sambamba na Dawa hizo nilipewa masharti yafuatayo:-

1. Usinywe Pombe hasa Beer (Hapa ilikuwa mtihani sana ndiyo maana awali pamoja na kitumia dawa nilikuwa nakatiza doze sana

2. Nisitumie kabisa Nyama Nyekundu hasa maini, mapupu, moyo na damu ( Nilikuwa mtimiaji mzuri sana wa hizi organs za mbuzi tulikuwa tinachanganya na damu na nyama ya mbuzi naitwa Udee

3. Kunywa maji ya kutosha lita zisizopungia 3 kwa siku, kumbuka kunywa maji mengi wakati wa kumeza Dawa Allopurional

4. Fanya mazoezi angalau dk 15-20 daily au 30-60 weekend.

4. Epuka Njegere, ina kiasi kikubwa cha purine ambayo mdiyo mama wa kuzalisha Uric Acid.

5. Tumia zaidi matunda na mboga mboga

6. Epuka soda kwa kiasi kunywa Soda water hii ina alcaline insaidia kupunguza acid kwa damu.

Ukifuata masharti haya yote na kutumia dawa kwa uangalifu nakuhakikishia utapona kabisa.

Utakuja kunishukuru na ulete na ushuhuda hapa
Nashukuru sana mkuu, hizo dawa zinaitwa Allopurinol zinapatikana kwa phamarcy zetu hapa Tz?
Yes na kama una Bima zinapatikana
Hapo kwenye njegere umenichosha ! Maana menu yangu haikamiliki bila hIzo
Anyway ngoja nipambane
Tumia kwa kiasi k
 
Back
Top Bottom