Naomba kujuzwa tiba ya Uric Acid nyingi mwilini

Mkuu kwa siku tano mi chache inatakiwa wiki 6 mpaka 8 ndio utapona na kufuata hayo masharti
Kama upo dar Tuwasiliane ili kesho uje upate mafunzo juu ya magonjwa haya na tiba yake
Mkuu, kwasasa sipo huko, lakini huwa nakuja kila baada ya miezi kadhaa ikiwezekana nipate hata email yako au namba ya simu ili siku nikifika nikucheki.
Natanguliiza shukrani.
 
Mkuu, ulipewa Allopurinol ya gram ngapi?
Leo nilienda kununua nikakuta kuna ya gram100 na 300 . Nikishindwa kujua nichukue ipi
 
Ahsante, dawa zilikusumbua sana wakati unatumia? I mean kwa kiwango ukashindwa endelea na shughuli za kawaida?
Pia mazoezi nafanya wakati huu natumia dawa au baada ya kumaliza dozi. Kulingana na ushauri uliopewa
 
Hapana ila wanaashauri ule ndiyo umeze
 
Somo zuri na limeeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…