Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemiliki hiyo gari sijawahi pata hiyo changamoto, hebu tuambie ni gari gani ambayo haina changamoto hapa duniani?Honda crossroad ni nzuri sema huwa ina changamoto ya vifaa na durability gearbox yake ni nyepesi sana ni the same gearbox walizofunga kwenye nissan na outlander za zamani kampuni inayoitwa jetco gearbox hizo zina defect ya kupata moto hizi gari ujue zimetengenezwa kutumika kwenye maeneo yenye baridi kidogo
Kwani unaponunua Harrier ya 2004 una uhakika bado japan wanazalisha toleo hilo la 2004? Au unahisi vifaa vya harrier ya 2018 vinaingiliana na hiyo ya 2004?Nimefuatilia hii gari iliatengenezwa ikilenga soko la Japan halafu ililenga vijana wenye miaka 20-30 na wanandoa wachanga wenye watoto wadogo. Nimejaribu kuangalia kwenye calculator ya TRA ushuru wake ni 6M tu.
Haya magari hawayatengenezi tena....sijui ukinunua vipuri vyake inakuaje