Naomba kujuzwa utaratibu wa kusomea urefa

Naomba kujuzwa utaratibu wa kusomea urefa

Qassy boee

Member
Joined
Nov 6, 2019
Posts
98
Reaction score
88
Habarini za jioni wanamichezo
napend kuuliza kuulizia ofisi za marefaa
 
Mkuu unataka kwenda Chuo kikuu wakati hujasoma hata Sekondari!
 
Kwa upande wa soka/football nenda Makao makuu ya TFF pale Karume. Ukifika pale kuna ofisi za Chama cha Marefa Tanzania watakupa utaratibu wote. Usiende mapema sana maana zinachelewa kufunguliwa.
 
Back
Top Bottom