Naomba kujuzwa vidonge mtu akimeza ataweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu?

INJECTION TECHNICIAN

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
356
Reaction score
794
Habari wana jamvi
Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu

Nb. Wapo walonishauri ninywe pombe lakini mimi si mpenzi wa hvyo vinywaji
 
Nina muda mrefu mno sipati usingizi nikilala sana ni saa moja

Kipi cha kufanya kuepuka hii halii
Tafuta vyanzo vinavyosababisha hiyo hali kisha viondoe. Yaweza kuwa hali ya ugonjwa fulani au msongo wa mawazo au unawaza sana vitu fulani au chochote kile. Jaribu kupitia mfumo wako wa maisha utagundua tu
 
Ukianza kutumia madawa... Sasa utakuwa na addiction ya madawa... Hutopata usingizi bila hivyo vidonge... Mwisho wa siku unatengeneza tatizo kubwa zaidi.

CHA KUFANYA...

Jitahidi ujichanganye na watu na jambo lolote mfano movie au mpira... Ili usikipe kichwa chako nafasi ya kusongwa na mawazo...

Usikae mwenyewe... Usilale mwenyewe kwa kipindi cha wiki mbili hivi takribani... Hiyo hali itakwenda...KUWA NI MTU WA KUPIGA STORY MPAKA USINZIE HAPO HAPO... ANGALIA MOVIE ANGALIA MPIRA MPAKA UCHONGE...

IKIWEZEKANA SAFIRI KIDOGO HAMIA SEHEMU NYINGINE KWA MUDA KIDOGO UKARELAX.

ALAFU USIFANYE USINGIZI NI SCHEDULED... KWAMBA LAZIMA KULALA KUWE USIKU... KWA TATIZO LAKO... INABIDI UKIHISI USINGIZI LALA HAPO HAPO IWE OFISINI MSIKITINI... TENA USIZUIE USINGIZI HATA UKO BUSY OMBA MSAADA...

Njia nyingine ni shirikisha watu wengine wenye kuaminika na waadilifu na wenye busara kinachokusonga... Ni njia ya kuyasimplify matatizo yako... Ukishirikisha wehu wengine watakuzidishia mawazo...

Usifanye siri mawazo... Yatakushinda nguvu.
 
Nashukuru kwa mawzo mazuri
 
Pole sana.
Stress ni sehem ya maisha.
Sikushauri utumie dawa.
Jaribu mazoez hata ya kutembea hatua 10000 huku ukiskiliza muziki unaopennda kidogo itasaidia.au pitia uzi wa mambo ya meditation(meditation ndio kitu bora sana kwa haya mastress)
 
Really
Ukianza kutumia madawa... Sasa utakuwa na addiction ya madawa... Hutopata usingizi bila hivyo vidonge... Mwisho wa siku unatengeneza tatizo kubwa zaidi.

CHA KUFANYA...

Jitahidi ujichanganye na watu na jambo lolote mfano movie au mpira... Ili usikipe kichwa chako nafasi ya kusongwa na mawazo...

Usikae mwenyewe... Usilale mwenyewe kwa kipindi cha wiki mbili hivi takribani... Hiyo hali itakwenda...KUWA NI MTU WA KUPIGA STORY MPAKA USINZIE HAPO HAPO... ANGALIA MOVIE ANGALIA MPIRA MPAKA UCHONGE...

IKIWEZEKANA SAFIRI KIDOGO HAMIA SEHEMU NYINGINE KWA MUDA KIDOGO UKARELAX.

ALAFU USIFANYE USINGIZI NI SCHEDULED... KWAMBA LAZIMA KULALA KUWE USIKU... KWA TATIZO LAKO... INABIDI UKIHISI USINGIZI LALA HAPO HAPO IWE OFISINI MSIKITINI... TENA USIZUIE USINGIZI HATA UKO BUSY OMBA MSAADA...

Njia nyingine ni shirikisha watu wengine wenye kuaminika na waadilifu na wenye busara kinachokusonga... Ni njia ya kuyasimplify matatizo yako... Ukishirikisha wehu wengine watakuzidishia mawazo...

Usifanye siri mawazo... Yatakushinda nguvu.
 
Habari wana jamvi
Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu

Nb. Wapo walonishauri ninywe pombe lakini mimi si mpenzi wa hvyo vinywaji
Nenda gym aerobics itachosha mwili automatic utalala tu
 
Back
Top Bottom