INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Nina muda mrefu mno sipati usingizi nikilala sana ni saa mojaUnataka kuchagua njia mbaya sana ya kusovu tatizo lako mkuu.
Sikushauri kabisa uendelee kutafuta hivyo vidonge
Tafuta vyanzo vinavyosababisha hiyo hali kisha viondoe. Yaweza kuwa hali ya ugonjwa fulani au msongo wa mawazo au unawaza sana vitu fulani au chochote kile. Jaribu kupitia mfumo wako wa maisha utagundua tuNina muda mrefu mno sipati usingizi nikilala sana ni saa moja
Kipi cha kufanya kuepuka hii halii
Nashukuru kwa mawzo mazuriUkianza kutumia madawa... Sasa utakuwa na addiction ya madawa... Hutopata usingizi bila hivyo vidonge... Mwisho wa siku unatengeneza tatizo kubwa zaidi.
CHA KUFANYA...
Jitahidi ujichanganye na watu na jambo lolote mfano movie au mpira... Ili usikipe kichwa chako nafasi ya kusongwa na mawazo...
Usikae mwenyewe... Usilale mwenyewe kwa kipindi cha wiki mbili hivi takribani... Hiyo hali itakwenda...KUWA NI MTU WA KUPIGA STORY MPAKA USINZIE HAPO HAPO... ANGALIA MOVIE ANGALIA MPIRA MPAKA UCHONGE...
IKIWEZEKANA SAFIRI KIDOGO HAMIA SEHEMU NYINGINE KWA MUDA KIDOGO UKARELAX.
ALAFU USIFANYE USINGIZI NI SCHEDULED... KWAMBA LAZIMA KULALA KUWE USIKU... KWA TATIZO LAKO... INABIDI UKIHISI USINGIZI LALA HAPO HAPO IWE OFISINI MSIKITINI... TENA USIZUIE USINGIZI HATA UKO BUSY OMBA MSAADA...
Njia nyingine ni shirikisha watu wengine wenye kuaminika na waadilifu na wenye busara kinachokusonga... Ni njia ya kuyasimplify matatizo yako... Ukishirikisha wehu wengine watakuzidishia mawazo...
Usifanye siri mawazo... Yatakushinda nguvu.
Ukianza kutumia madawa... Sasa utakuwa na addiction ya madawa... Hutopata usingizi bila hivyo vidonge... Mwisho wa siku unatengeneza tatizo kubwa zaidi.
CHA KUFANYA...
Jitahidi ujichanganye na watu na jambo lolote mfano movie au mpira... Ili usikipe kichwa chako nafasi ya kusongwa na mawazo...
Usikae mwenyewe... Usilale mwenyewe kwa kipindi cha wiki mbili hivi takribani... Hiyo hali itakwenda...KUWA NI MTU WA KUPIGA STORY MPAKA USINZIE HAPO HAPO... ANGALIA MOVIE ANGALIA MPIRA MPAKA UCHONGE...
IKIWEZEKANA SAFIRI KIDOGO HAMIA SEHEMU NYINGINE KWA MUDA KIDOGO UKARELAX.
ALAFU USIFANYE USINGIZI NI SCHEDULED... KWAMBA LAZIMA KULALA KUWE USIKU... KWA TATIZO LAKO... INABIDI UKIHISI USINGIZI LALA HAPO HAPO IWE OFISINI MSIKITINI... TENA USIZUIE USINGIZI HATA UKO BUSY OMBA MSAADA...
Njia nyingine ni shirikisha watu wengine wenye kuaminika na waadilifu na wenye busara kinachokusonga... Ni njia ya kuyasimplify matatizo yako... Ukishirikisha wehu wengine watakuzidishia mawazo...
Usifanye siri mawazo... Yatakushinda nguvu.
Nenda gym aerobics itachosha mwili automatic utalala tuHabari wana jamvi
Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu
Nb. Wapo walonishauri ninywe pombe lakini mimi si mpenzi wa hvyo vinywaji