Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Mie naiweza hiyo...tupinge!.mi ki ukweli kabisa....akinifanyia kama hapo kwenye picha najua amekufa ameoza....
mzima ww mpz loh! nimekumisijeeeeeeeee ................ucjali zimefika
Halafu wewe abegwo abegwo....you gonna tell mi ohoooo woman.....if you got no monii....you better tell me ohooo i gonna tell papaa it's not good that you're lostjamani....
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa niliko saaa kumi na mbili jioni loh! kweli dunia duaranimekumiss mpaka nasikia kizungu zungu. Nitakufunga kengele, kila utakapoenda nikusikie nikufate. Lol.
Mwambie preta usiku mwema. Saa ya mpwapwa inaniambia sahv sa tisa usiku.
kwa maumbile ya wamama wa kiafrika 4*4*far (ie zipompapompa) unavunjika kiuno mwanaume
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa neno la long sana duh! umenikumbusha mbali kinoma mwanangu dah!
bora kua muwazi mpz sio kung'atana chuchu kama wale mpaka mtu anakua na vodonda loh!
si ndio mapenzi yenyewe hayo sasa....kwamba ulivunjikia mapenzini.....
Halafu wewe abegwo abegwo....you gonna tell mi ohoooo woman.....if you got no monii....you better tell me ohooo i gonna tell papaa it's not good that you're lost
sasa mwanaume ukitegka kiuno hayo mapenzi utayapata wapi maana utakuw aunacheza chini ya kiwango na matokeo yake utapata wasaidizi
Jodeci - Freek'N You - YouTubeahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh! zem eyez
umeonaeeeeeeeee bora ww umesema afanye ka kwenye foto kuliko wale wa kung'atana mana kuna jamaa alitoa hiyo thread anang'atwa na mupenziwe loh!