Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

mzima ww mpz loh! nimekumisijeeeeeeeee ................ucjali zimefika

nimekumiss mpaka nasikia kizungu zungu. Nitakufunga kengele, kila utakapoenda nikusikie nikufate. Lol.
Mwambie preta usiku mwema. Saa ya mpwapwa inaniambia sahv sa tisa usiku.
 
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa niliko saaa kumi na mbili jioni loh! kweli dunia duara
 
Halafu wewe abegwo abegwo....you gonna tell mi ohoooo woman.....if you got no monii....you better tell me ohooo i gonna tell papaa it's not good that you're lost
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa loh! zem eyez
 
kwa maumbile ya wamama wa kiafrika 4*4*far (ie zipompapompa) unavunjika kiuno mwanaume

si ndio mapenzi yenyewe hayo sasa....kwamba ulivunjikia mapenzini.....
 
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa neno la long sana duh! umenikumbusha mbali kinoma mwanangu dah!

hahahahah ni muhimu kuangalia pande zote .. lakini hapa tunaangali kufanyiwa je wewe mhusika kufanya inakuwaje
 
Mimi akiniambia haya maneno.......Just thought I'd let you know,You're the owner of this heart of mine.
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day boy loh!
 
si ndio mapenzi yenyewe hayo sasa....kwamba ulivunjikia mapenzini.....

sasa mwanaume ukitegka kiuno hayo mapenzi utayapata wapi maana utakuw aunacheza chini ya kiwango na matokeo yake utapata wasaidizi
 
Halafu wewe abegwo abegwo....you gonna tell mi ohoooo woman.....if you got no monii....you better tell me ohooo i gonna tell papaa it's not good that you're lost

tchai....chinekee....ooo....heeeii
 
khaa....inahusu....
umeonaeeeeeeeee bora ww umesema afanye ka kwenye foto kuliko wale wa kung'atana mana kuna jamaa alitoa hiyo thread anang'atwa na mupenziwe loh!
 
sasa mwanaume ukitegka kiuno hayo mapenzi utayapata wapi maana utakuw aunacheza chini ya kiwango na matokeo yake utapata wasaidizi
...............duh!
 
sasa mwanaume ukitegka kiuno hayo mapenzi utayapata wapi maana utakuw aunacheza chini ya kiwango na matokeo yake utapata wasaidizi

ndio hivyo tena.....kufa kufaana....hi hi hi....
 
umeonaeeeeeeeee bora ww umesema afanye ka kwenye foto kuliko wale wa kung'atana mana kuna jamaa alitoa hiyo thread anang'atwa na mupenziwe loh!

hayo yakung'atana tena bana....a a
 
Mimi picha tu!yaan dada amejikunja utafikiri kalalia kitanda!duh penzi la hivi utumwa!mi sipooo!
 
Back
Top Bottom