Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

AMINATA 9

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2011
Posts
2,120
Reaction score
642
mpenz wako anatakiwa akufanyie nn ili ujue kweli anakupenda sana na kila neno analosema juu yako kweli lamtoka moyoni.......msinishushue naitaji tu kujua ..natanguliza shukurani zangu za dhati kwa maoni yako utakayotoa ......thanx mooo. t23.jpg
 
mi ki ukweli kabisa....akinifanyia kama hapo kwenye picha najua amekufa ameoza....
 
mi ki ukweli kabisa....akinifanyia kama hapo kwenye picha najua amekufa ameoza....
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hapo umeniua shoga na kicheko huku .............mzima ww lkn mpz
 
mi ki ukweli kabisa....akinifanyia kama hapo kwenye picha najua amekufa ameoza....

Preta hiyo siyo mapenzi. Penzi ikishakuwa beyond expectetion inaitwa UTUMWA!
 
mzima dear....hebu nipe ya kwako....
mie bukheri.................mm akiwa na haya moyoni na kuyafanyia practice kwangu mm
1.LOVE
2.CARING
3.UNDERSTANDING
4.SUPPORT
5.COMMITMENT
6.HONEST
7.WISDOM
8.RESPECT
9.DISCIPLINE
10.APPRECIATION
11.PATIENCE
12.SPIRITUAL COMMITMENT............hii naona hatakiwi kuonesha mm bali sir GOD
nime copy kwa the finest
 
kwa maumbile ya wamama wa kiafrika 4*4*far (ie zipompapompa) unavunjika kiuno mwanaume
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa neno la long sana duh! umenikumbusha mbali kinoma mwanangu dah!
 
Mimi akiniambia haya maneno.......Just thought I'd let you know,You're the owner of this heart of mine.
 
mie bukheri.................mm akiwa na haya moyoni na kuyafanyia practice kwangu mm
1.LOVE
2.CARING
3.UNDERSTANDING
4.SUPPORT
5.COMMITMENT
6.HONEST
7.WISDOM
8.RESPECT
9.DISCIPLINE
10.APPRECIATION
11.PATIENCE
12.SPIRITUAL COMMITMENT............hii naona hatakiwi kuonesha mm bali sir GOD
nime copy kwa the finest

orait orait....
 
Back
Top Bottom