Naomba kujuzwa

Naomba kujuzwa

Mwalaye

Senior Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
171
Reaction score
233
Jinsi ya kuposti picha au habari niliyoikuta sehemu ili kuwajuza wanaJF wenzangu.
 
Karibu sana JamiiForums...

Unafanya kama ulivyopost huu uzi wa kuuliza isipokuwa utafanya hivyo katika jukwaa linalolingana na maudhui ya habari yako...
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Back
Top Bottom