M Mwalaye Senior Member Joined Jun 17, 2021 Posts 171 Reaction score 233 Oct 28, 2021 #1 Jinsi ya kuposti picha au habari niliyoikuta sehemu ili kuwajuza wanaJF wenzangu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 Oct 29, 2021 #2 Karibu sana JamiiForums... Unafanya kama ulivyopost huu uzi wa kuuliza isipokuwa utafanya hivyo katika jukwaa linalolingana na maudhui ya habari yako...
Karibu sana JamiiForums... Unafanya kama ulivyopost huu uzi wa kuuliza isipokuwa utafanya hivyo katika jukwaa linalolingana na maudhui ya habari yako...
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Oct 30, 2021 #3 Karibu mkuu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,946 Reaction score 13,928 Nov 1, 2021 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.