Naomba Kukaribishwa JamiiForums

Karibu sana mkuu kwetu.!
Mkuu nimekuja kuona mahala mdogo wabgu kaolewa yaani hii nyumba ina "vyombo" balaa.. nimepewa chumba cha peke yangu hapa basi nikiwa nje inabidi nile kwa macho. Yaani natamani kyombo kimoja usiku kinivizie..
 
Ahahhaah mkuu angalia usije ukasahau kurudi kwenu.!
 
Karibu Bwana mdogo, humu kila mtu amesoma, kila mtu ni mchumi, kila mtu ni mchambuzi wa siasa, kila mtu ana mafanikio, kila ana gari n.k

Chukua mazuri yetu, mabaya yetu tuachie.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€...mi gari sina mbona?
 
Mbona munaukataa KE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…