Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana mkuu kwetu.!Kesho nakuja Mpanda Katavi Mkuu.
JKesho nakuja Mpanda Katavi Mkuu.
Pia hakuna ambaye ajasoma humu hahaaa..
A wSwadakta sheikh
Saw mkuu, nakuelewaga sna.
Asante mkuu.
Saw mkuu, nakuelewaga sna.
Mkuu nimekuja kuona mahala mdogo wabgu kaolewa yaani hii nyumba ina "vyombo" balaa.. nimepewa chumba cha peke yangu hapa basi nikiwa nje inabidi nile kwa macho. Yaani natamani kyombo kimoja usiku kinivizie..Karibu sana mkuu kwetu.!
Ahahhaah mkuu angalia usije ukasahau kurudi kwenu.!Mkuu nimekuja kuona mahala mdogo wabgu kaolewa yaani hii nyumba ina "vyombo" balaa.. nimepewa chumba cha peke yangu hapa basi nikiwa nje inabidi nile kwa macho. Yaani natamani kyombo kimoja usiku kinivizie..
Itabidi nijipatie housegelo huku.Ahahhaah mkuu angalia usije ukasahau kurudi kwenu.!
Itabidi nijipatie housegelo huku.Ahahhaah mkuu angalia usije ukasahau kurudi kwenu.!
Chukua tuItabidi nijipatie housegelo huku.
😀😀😀😀...mi gari sina mbona?Karibu Bwana mdogo, humu kila mtu amesoma, kila mtu ni mchumi, kila mtu ni mchambuzi wa siasa, kila mtu ana mafanikio, kila ana gari n.k
Chukua mazuri yetu, mabaya yetu tuachie.
Asee inaonyesha una adabu sana mkuu fanya mpango wa hiyo picha yako fasta tuisevu kwenye list ya member wastaarabu kama wewe!!Asante mkuu.
Habari wana jamvi..
Km kichwa kinavyojieleza apo juu,nimekua mfuatiliaj wa mda mrefu juu ya mijadala mbali mbali,hivyo nimeona nami nijiunge nanyi ili nipate kuelimika na mambo mengi yanayojiri duniani.jinsia yng ni ME,hivyo naomben mnipokee ndg zang.
Nawasilisha..