Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
- Thread starter
- #41
Hautaniblock huku mama?yani baba ulinfata Facebook nakublok naona umekuja ad uku😂😂😂😂,,, karibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hautaniblock huku mama?yani baba ulinfata Facebook nakublok naona umekuja ad uku😂😂😂😂,,, karibu
Asante kwa kunitahqdharishaKaribu sana, kuna watu wa aina nyingi humu kama mtaani tu.
Acha kuidharau fesibuku. Hivi unajua kuwa hata bosi wa jf ana acc kule fesibuku?Fesibuku umeacha hawajambo? naona umeomba Like pia kama vile upo fesibuku au Insta,
Ni wapi nimeidharau Fesibuku? mbona unajishtukia?Acha kuidharau fesibuku. Hivi unajua kuwa hata bosi wa jf ana acc kule fesibuku?
Vyote nilivyo omba vinapatikana hapa jf Ila wewe umenikarisha kwa madharau sijui sababu ya kunifanyia hivyo
ukileta ujuaji na cm nilikufundisha mimi kutumia,,nakulima kitofali na uku.Hautaniblock huku mama?
Ukinilima kitofali utakosa maokoto ujue.ukileta ujuaji na cm nilikufundisha mimi kutumia,,nakulima kitofali na uku.
karibu nakushauri upunguze speedNi aje wakuu, hii ni post yangu ya kwanza kabisa, ndio kwanza nimeingia hapa.
Like yako hapa ni ukaribisho rasmi kwangu.
Ahsante
We musee si umeponda kuwa huko fesibuku wadau huwa wanajiombea like, na ukakazia kuwa nimekuja jf na vinasaba vya fesibuku kwa kujiombea like.Ni wapi nimeidharau Fesibuku? mbona unajishtukia?
nitatafuta mwenyeweUkinilima kitofali utakosa maokoto ujue.
Hayo ni mawazo yako na pia ni tafsiri yako kwa nilichokiandika.We musee si umeponda kuwa huko fesibuku wadau huwa wanajiombea like, na ukakazia kuwa nimekuja jf na vinasaba vya fesibuku kwa kujiombea like.
Hiyo sio dharau?
Naona umeufyata kishikaji baada ya kugundua uliboronga 😂Hayo ni mawazo yako na pia ni tafsiri yako kwa nilichokiandika.
Wewe ni mchaga?nitatafuta mwenyewe
Hivi kuna speed limit humu?karibu nakushauri upunguze speed
apana m'benaWewe ni mchaga?
Nitakupigia simu jioni, nina jambo na wewe mama.apana m'bena
yaan leo ntahakikisha cm ipo sehem yenye network 😌😋Nitakupigia simu jioni, nina jambo na wewe mama.
Stay onlineyaan leo ntahakikisha cm ipo sehem yenye network 😌😋
DoneStay online
ndioHivi kuna speed limit humu?