Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu tulia kwanza hapo, kisha tupe kuhusu hizo opportunities.Habari zenu wanajamii,naitwa baba C nimeamua kujiunga leo na jamii forums,nimeona sio bora kila siku nachungulia dirishani tu sasa nimeamua kubisha hodi.Mimi zaidi natafuta opportuniries na pia natoa opportunities kwa hiyo mimi ni two way trafic
Habari zenu wanajamii,naitwa baba C nimeamua kujiunga leo na jamii forums,nimeona sio bora kila siku nachungulia dirishani tu sasa nimeamua kubisha hodi.Mimi zaidi natafuta opportuniries na pia natoa opportunities kwa hiyo mimi ni two way trafic
Hebu tulia kwanza hapo, kisha tupe kuhusu hizo opportunities.
Habari zenu Mabibi na Mabwana, Ni ndo Zogoo da khama, (yaani jogoo mwekundu) nimeamua kujiunga na wanajamii forums,nimeona sio vema kila siku kuwa msindikizaji tu acha nami nijumuike nanyi kati kuchangia/ kutoa hoja za nguvu na zenye tija kwa lengo la kuhabarishana, kujuzana.:yell:
Mimi nahitaji fursa kwenye mambo ya IT mkuu vipi hapo wapi ntapata job ya hiyo mambo,nina experience ya IT in system analysis and design kwa miaka 5