Naomba kukaribishwa rasmi

Naomba kukaribishwa rasmi

BabaC

Member
Joined
May 21, 2013
Posts
94
Reaction score
60
Habari zenu wanajamii,naitwa baba C nimeamua kujiunga leo na jamii forums,nimeona sio bora kila siku nachungulia dirishani tu sasa nimeamua kubisha hodi.Mimi zaidi natafuta opportuniries na pia natoa opportunities kwa hiyo mimi ni two way trafic
 
Karibu sana! Watoa opportunts!!? Kama zipi labda!
 
Habari zenu wanajamii,naitwa baba C nimeamua kujiunga leo na jamii forums,nimeona sio bora kila siku nachungulia dirishani tu sasa nimeamua kubisha hodi.Mimi zaidi natafuta opportuniries na pia natoa opportunities kwa hiyo mimi ni two way trafic
Hebu tulia kwanza hapo, kisha tupe kuhusu hizo opportunities.
 
Karibu Online University ya ukweli........kila kitivo kipo hapa, mpaka cha hizo fursa utakazohitaji!
 
Mimi nahitaji fursa kwenye mambo ya IT mkuu vipi hapo wapi ntapata job ya hiyo mambo,nina experience ya IT in system analysis and design kwa miaka 5
 
Hebu tulia kwanza hapo, kisha tupe kuhusu hizo opportunities.

Ninadeal na mambo ya recruitment agent na tayari nina post kama 20 ambazo inatakiwa zipostiwe but website ndo ipo down,once it is done worry not tutafurahi pamoja.Hope it is soon next week
 
Habari zenu Mabibi na Mabwana, Ni ndo Zogoo da khama, (yaani jogoo mwekundu) nimeamua kujiunga na wanajamii forums,nimeona sio vema kila siku kuwa msindikizaji tu acha nami nijumuike nanyi kati kuchangia/ kutoa hoja za nguvu na zenye tija kwa lengo la kuhabarishana, kujuzana.:yell:​
 
Karibu JF. Jogoo mwekundu. Mimi ndio Jogoo Afrika.
 
Karibu sana jogoo mwekundu!.....wakijani pia yupo?
 
Mimi nahitaji fursa kwenye mambo ya IT mkuu vipi hapo wapi ntapata job ya hiyo mambo,nina experience ya IT in system analysis and design kwa miaka 5

Nenda Jukwa la ajira mkuu, huko ndio mpango mzima. We mwaga sera zako tu!
 
Back
Top Bottom