Naomba kumfahamu Shamim Mwasha

Naomba kumfahamu Shamim Mwasha

Naskia yule mtoto wake mkubwa wa kike baba yake ni tajiri..alimwachia mapesa na bonge ya nyumba..nyumba ambayo WCB wana ofisi. Ni ya mtoto resty..nadhani anapata pesa hapo.
Sina uhakika lkn na mimi naskia tu
Jamaa yupo uraiani na kodi anachukuaga mwenyewe toka yuko ndichi,hana hela kwasasa ni mpigaji kama ndama au papa msofe
 
Back
Top Bottom