tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Jamaa yupo uraiani na kodi anachukuaga mwenyewe toka yuko ndichi,hana hela kwasasa ni mpigaji kama ndama au papa msofeNaskia yule mtoto wake mkubwa wa kike baba yake ni tajiri..alimwachia mapesa na bonge ya nyumba..nyumba ambayo WCB wana ofisi. Ni ya mtoto resty..nadhani anapata pesa hapo.
Sina uhakika lkn na mimi naskia tu