Naomba kumjua huyu Afande ambaye mara nyingi huwa anaongoza itifaki kwenye misiba ya kitaifa na misiba ya wanajeshi wa Vyeo vya Juu

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein.

Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo.

Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa Mwinyi alikuwepo pia.

Msiba wa Meja Jenerali Mbuge na Msiba wa Jenerali Msuguri pia alikuwa mstari wa mbele.

Je, huyu kama ni nani kwa majina? Wasifu wake mwenye kumjua

Cc JokaKuu
IMG_4205.png
 
Cc JokaKuu View attachment 3144531
Abdulrazak Abdallah Rashid
Mtt wa aloekuwa mkuu wa mkoa mjini magharibi wakati wa Salmin Amour
 
Back
Top Bottom