unataka umfanyejeUna namba zake?
Huenda kuna sehemu walisukumana akamwambia unajua mimi ni nani!!!unataka umfanyeje
Abdulrazak Abdallah RashidZamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein.
Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo.
Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa Mwinyi alikuwepo pia.
Msiba wa Meja Jenerali Mbuge na Msiba wa Jenerali Msuguri pia alikuwa mstari wa mbele.
Je, huyu kama ni nani kwa majina? Wasifu wake mwenye kumjua
Cc JokaKuu View attachment 3144531
Hao watoto wa lineDuh watu mnajua kufatilia