Naomba kumjua huyu mlimbwende

Hiyo sura hata kama si nzuri ila HAKUNA mwanamke wa kinyakyusa ana sura kama hiyo. NEVER.
Sikuamini hata kidogo, hao watakuwa si wanyakyusa….walikudanganya tu.
Nilijuwa tu kuwa hawezi kuwa mnyakyusa pure, wanyakyusa wana sura mgogoro sana.
Nilisoma Iyunga Sec School pale Mbeya, yaani nilikuwa nalia kila nikienda mjini kwa sababu sikuwahi onana na mwanamke mzuri hata siku moja. Wanawake wazuri walikuwa walimu wetu tu na wageni.
Kwani Masogange alikua mbaya? Mbeya kuna watoto wazuri acha zako
 
Kumbe na wewe unamsambwanda!!
Nitakutafuta weekend
 
Kalio kubwa is an aphrodiasic in a way
 
Sawa ...ahsante

Nianze zichanga sasa
Ukitaka kuzaliwa upya kama Posh nenda Marekani ndo utapendeza zaidi. Hawa wachina mtu unanenepa bila mpangilio.
Nipunguze na sina hata la kujidai love

Nataka nizaliwe upya kama posh hii flat nishaichoka
Ukapunguze au?? Kama kupunguza yule dadake Glam madam atakua na usaidizi mzuri.
Kuongeza Marekani ndo naonaga wanapatia.
Wapi huko nitafute pesa niende?
Watu wanapeana ushauri
 
Naona tako la kawaida ila hips ndio kubwa,
anataka kua mrithi wa Masogange nini?
 
Nguo tu hizo, akishazitoa michilizi utakayoiona lazima uombe chenji.
inapendeza kwa macho ila sie tulishaachana nayo ni kujitakia kazi wakati ile mambo starehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…