Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Nipunguze na sina hata la kujidai loveUkapunguze au?? Kama kupunguza yule dadake Glam madam atakua na usaidizi mzuri.
Kuongeza Marekani ndo naonaga wanapatia.
Nataka nizaliwe upya kama posh hii flat nishaichoka