Naomba kumjua huyu mlimbwende

Tunatofautiana vigezo ya 'fairness',mzee baba![emoji85][emoji85][emoji85]
hamna mchukulie poa tu mwana may be anafanya ivyo au kuvaa ivo sababu ya kumfurahisha mwanae nasema ivyo sababu me nishakaa karibu kabisa na nyumba yao namfaam huyo ni mama mchungaji
 
Mkuu pesa unazo sio za madafu?
Uko na ndinga kali?
Unavaa smart unakwenda na wakati?

Huyu manzi pesa yako tu.Ila pia anavigezo vyake.

Kama uko teyari unampata very simple
Hem pitia pitia mkuu...utujuze zaidi
 
K
Huyu si ndio kagraduate hapo IFM juzi degree ya Insurance and Risks management! Watu wamemtumia na wamempaisha sana. Anajivynia kuwa mwanafunzi pekee chuoni hapo anayemiliki Iphone X tena mbili kwa mpigo
Kumbe ndo huyu ASITUTISHEEE[emoji849][emoji849]
 
Ukienda profile yake picha za nyuma kabisa kalikuwa hakana hips wala msambwanda na wala kulikuwa hakuna dalili,masilicone tu wamemjaza huko nchi za watu,mwanafunzi kutwa yupo south,mara dubai,mara uk,ni KAMALAYA tu kanauza KISHI na MZUTI.
We jamaa yangu utakuwa mpare ......mvuti na kishi.....ah ah
 
Lakini mbona anaonekana na hips kwa mbali??
Inawezekana alipokuwa mwembamba ilikuwa haonekani ila sasa kanenepa...ndo linamwaika!
 
Lakini mbona anaonekana na hips kwa mbali??
Inawezekana alipokuwa mwembamba ilikuwa haonekani ila sasa kanenepa...ndo linamwaika!
Me mwenyewe sielewi kwanini wanahisi kafanya surgery wakati picha za zamani zinaonesha kabisa alikua mwembamba ila kishepu kilikuwepo, na sasa amekua, amenenepa, ametanuka, shepu yake imejitokeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…