Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
Heheheheee naona ndege mwoga unakimbiza bawa lakoWakianza kuumwa huwa wanatupa taabu sana hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heheheheee naona ndege mwoga unakimbiza bawa lakoWakianza kuumwa huwa wanatupa taabu sana hawa
Mhh Mbuzi kwenye guniaNaukumbuka huo uzi niliweka picha zake zile za zamani za 2014 alivyokuwa wa kawaida FLAT Screen....Jana nimeenda kuangalia kafuta Zote kabakiza za 2017 baada ya kujidunga SILICONE.
Check Picha Alipiga July 2016 Alivyokuwa Flat Screen ila baada ya Mwaka Kafutuka Hips na Tako kama Lote.
View attachment 955430
Video vixen, PoshyQueen adai hawezi kutokea kwenye video ya msanii wa Bongo bila milioni 5 - JamiiForums
Kahojiwa juzi kasema anamiliki harrier hiyo itakuwa alikodi kwa ajili ya graduu
Kuna mahips ya dukani kuna ya upasuaji na KUNA KALIO NA HIPSI ZA KUNYWA NCHANGANYIKO WA JUIS FULANI HIVI LINAOOOTA HILOOOHiyo shape nzuri bwana. ila inasemekana huko nyuma hakuaga hivyo kuna kitu kimefanyika.
Jamaa ni noma na wala umzanii.ila wanaipata[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 956278
Unawasema wasafwa na wandaliHapa nakuelewa, ila tusiwapachike sifa watu wanaoeleweka kuwa si wazuri. Tembea Mbeya yote, si rahisi kukuta Mnyakyusa mzuri kama yupo basi atakuwa a half cast si Mnyakyusa 100%
Unawasema wasafwa na wandali
Kwa sasa anamiaka 22,,, mwaka 2016 alikua na miaka 20 mwaka 2014 hyo mnayosema alikua hana, tako kubwa alikua na mika 18........kabla sijaanza kukupa maelezo nikuulize.....umesoma biology??Me mwenyewe sielewi kwanini wanahisi kafanya surgery wakati picha za zamani zinaonesha kabisa alikua mwembamba ila kishepu kilikuwepo, na sasa amekua, amenenepa, ametanuka, shepu yake imejitokeza.
Wote hao, mkoa wa Mbeya hauna wanawake wazuri hata kidogo, napinga….nani anataka tubishane hili? Mi niko tayari.
Kwa sasa anamiaka 22,,, mwaka 2016 alikua na miaka 20 mwaka 2014 hyo mnayosema alikua hana, tako kubwa alikua na mika 18........kabla sijaanza kukupa maelezo nikuulize.....umesoma biology??
Kuhusu mabadiliko ya kimaumbile kwa mwanamke na mwanaume hasa katika factor ya age??? Pia kabla sijaanza kukueleza hayo mabadiliko,,,,
, kwenye hizo picha alizo simama na mama yake,,,,,,umemuona mama ake alivo!!!???
Kuhusu maswala ya maumbile katika mwili wa binadamu kuna factor ya "kirithi""..... Vp ulishawahi kuipitia kdgo kipindi upo shule.......!!!!!!??
Hapo we umeangalia tako tu kujaa,,,,,lkn umesahau kua tofauti ya hyo 2014 na sasa ni kwamba pia kanene mwili wote kwa ujumla....
Kwa kucomfirm tu ni kwamba..
Factor za kuamini kuwa hilo wowowo ni lake na ni naturally developed,,, ni nyingi, za wazi na reasonable kabisa,,,,,,lakin factor za kwamba ni wowowo la mchina hakuna hata moja zaidi mnaongea tu kwa kuhisi hisi bila ushahidi.
Nipeni namba yake kwanza huyo mrembo.
Khaaa mbona umeongea kimipasho namna hiyo umesoma vizuri comment yangu na kuielewa au ulikosea ku quote?
Lol, sawa haina noma japo nilishtuka duhDaaaaah kweli nimekosea bhana,,,,nisamehe buree.....lengo langu ni mquote jamaa moja hapo aliekua anang'ang'ania kudai et hiyo ni surgery imefanyika akati kila kitu kipo wazi........sorry
Atakuwa na mimaji sana huyu!Naomba kujua huyu ni nani? na je ni mtanzania? Kiufupi nataka habari zake huyu dada mana ndio kwanza nimembmui kwnye Instra. Anaonekanwa kama mashuhuri flani hivi ila sie wengine ni watu wakuchelewa tu. Kiufupi kanivuruga akili kwa hilo tako lake.
View attachment 953732View attachment 953733View attachment 953734View attachment 953735View attachment 953737
HahahahaAtakuwa na mimaji sana huyu!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mbona picha zote anasimama upande upande au mlemavu?
Laki 350 unakula tu mbona huyo. Njoo inbox ebu
Mi ni mzigua mwenyeji wa Tanga,,,,,niliwahi kubahatika kuishi mbeya kwa miaka 4..........na nilikua najishughulisha na kazi za mizunguko sana........mwanzoni na mm nilikua na mawazo mgando kama yako....ila nilipoingia ndani ya ule mkoa........nilikuja kuikana hoja yangu mwenyewe.....
Kuna vyombo vikali sana kule mkuu,,,,yani vikali sanaaaa......lakn kama zilivo sehemu zingine,,,,,wabaya pia wapo ingawa ubaya wa mtu ni machoni pake...
Lakn mbeya kuna warembo sio mchezo....tena wakinyakyusa kabisaaaaaa,,,,