Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Sasa point yako iko wapi hapo.......sijui elimu yako ni ipi lkn dah unaugonjwa wa kugeneralize mambo mdogo wangu,,,,hata mahali isipohitajika
,ko wanaposema njombe inaongoza kwa rate ya ukimwi we unaelewa kwamba njombe wote wana ukimwi,,!!!???
Wanaposema wanaume wa dar wanapenda tumia cha mcongo we unaelewa kama dar wote hawana nguvu za kiume!!!???
Wanaposema wanawake wa kinyaturu ni malaya sana we unaelewa kwamba wanawake wote singida ni malaya!!??
Wanasema wanawake wa tanga wanajua mapenzi we unaelewa kwamba wanawake wote tanga wanajua mapenzi!!!??
Wanaposema wanawake wa kinyakyusa ni wabaya we unaelewa kwamba wanawake wote wa kinyakyusa ni wabaya!!!??
Wanaposema wasukuma ni washamba, we unaelewa kwamba wasukuma wote ni washamba!!??
Na ulipoambiwa kwamba wanaume wakizigua ni malimbukeni wa mademu bs ukaelewa wanaume wote wakizigua huko tanga na morogoro ni malimbukeni wa mademu!!!????
Afu nikae napoteza muda kujenga hoja zangu nikueleweshe mtu kama wewe,,,,,,!!!!?? Baki na hayo mawazo yako mgando......

Hao uliowaona wewe si Wanyakyusa ama wana Mbeya....wazigua nyie mnafahamika kwa ulimbukeni wa mademu na wala hamjuwi wanawake wazuri mkiwaona. Nyie hata mwanamme akivaa sketi na midevu yake mnamuona mzuri, mnafahamika kwa ujinga huu.