MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,675
- 33,583
Askofu is back ...Wasiliana na Le Mutuz Nation King of all social media atakupa undani wa huyo mbeibezi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Askofu is back ...Wasiliana na Le Mutuz Nation King of all social media atakupa undani wa huyo mbeibezi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]sauti zinadanganya sana unaweza kuuuziwa mbuzi kwenye gunia yaani zilonga mbali zitendwa mbali invesely propotion kabisa yaani mbingu na ardhi
Kipindi hicho unawapata manguli wa utangazaji kama Tayana..Kipindi cha nyuma sana wakati Clouds haijabadilisha vipidi vyote kuwa vya kiswahili, alikuwa na kipindi chake cha Kiingereza kila J'mosi, ni mzungumzaji mzuri wa lugha hiyo.
umeandika vzurMkuu kuwa Makini sana,
"Usione vyaelea, ujue vimeundwa"
Mwanaume mwenzako anapinda mgongo huko KariaKoo na viroba vya viazi kumgharamikia BH... Halafu wewe uko nyuma ya Keyboard yako ukitamani.
HovyoooSura ngumuuuuu
EFm walugha lugha kibao..si unaona B12 kadororai wish aende efm kwa majizoelizabethmichael