Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

kumbe ukiongea hadhira inabidi uwaangalie kwny paji la uso ili kujiongezea confidence. nime gain somthng
Hii mbinu kama uliisha wahi kuwa kiranja basi lazima utaijua tu maana huwezi simama paredi ukaamrisha kundi la wanafunzi 1000 na usher huku unawatizama machoni (kuna wehu watakuchekesha au kuna kitu kinaweza kukutoa kwenye mstari) hivyo viaranja wote tulifundshwa kuangalia watu /wenzako utosini (juu ya kichwa) ili uweze Toa command pale assembly ground.
Attention......
About turn.....
Right turn....
Left turn...
Que ur lines properly for inspection.

Ahaaaaaa kuwa kiranja raha sana.

By the way mkuu. mshana jr ubarikiwe kwa nondo zenye madini ya almasi
 
Mkuu mshana jr kwa yule ambaye atasema hajapata walau point moja toka kwa nondo ulizoshusha, Hakika Ntakuwa Niko tayari kugharamikia gharama zake za kwenda mirembe kuangaliwa ka dishi la "medulla oblongata" limepoteza equilibrium au la.

Yaani umegusa angle nyingine tena zenye ujumbe mzito, asante sana mkuu.
Tungekuaa humu JF tuna cheo cha mnadhimu mkuu wa JF basi mkuu mshana jr una deserve kuwa Tundu Lissu wa humu (sio coz unajua sheria..no..ni sababu una madini yenye ujazo wa karati za kutosha kwa rika zote za humu JF).
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji817] [emoji817] [emoji779] between am humbled [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Maneno ya Busara sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…