Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

[emoji121]
WAKUU,

HUU UZI NILIUANDIKA MIMI HUU
SASA NAONA KUNA PLAJARIZIM IMEFANYIKA HAPA!

Sent using Jamii Forums from Tabata Kwa Yong'eYong'e
 
Yani serikali ya awamu ya tano ina kazi kubwa kweli kweli, basi mie nikajua umeleta mchongo wa kupiga pesa mkuu, kumbe ni mchongo wa kupiga "K" dah..
JOB TRUE TRUE MAZEE....! 😱😱😱
Hii inaitwa life skills,huwez ipata darasani na sometimes hata kwa wazaz wako

May Allah bless Me and You
 
Hii inaitwa life skills,huwez ipata darasani na sometimes hata kwa wazaz wako

May Allah bless Me and You
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115]
 
stage hatari ya makuzi. Mzazi asipokuwa makini anaweza kumharibu kabisa kijana wake akidhani ndio anamtengeneza.... Kitu kama hiki humjengea mtoto hali ya kutokujiamini na inferiority complex
 
Ferouz angekuwa mfano wa kuigwa na vijana wengi lakini aliteleza na kuanguka kimoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…