Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Duuuh no 4 aiseee kumbe hii ni hali inayo nikuta mie sana thanks a lot bro kunifumbua macho
 
Hii point ya 4 huwa nakutana nayo sana , hii hali haiwezi kwisha haraka kwa sababu huu ndio muda kijana anahitaji kufika kwenye malengo haraka na ndio muda unakutana na vikwazo vingiii
 
Asante saana Bro mwenye kushika atashika,,mwenye kujifunza ataj...za,

Duuuh no 4 aiseee kumbe hii ni hali inayo nikuta mie sana thanks a lot bro kunifumbua macho

Hii point ya 4 huwa nakutana nayo sana , hii hali haiwezi kwisha haraka kwa sababu huu ndio muda kijana anahitaji kufika kwenye malengo haraka na ndio muda unakutana na vikwazo vingiii
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Maana naishia kuumizwa tu ila huu uzi umenifanya niamini muda bado...
Angalia tofauti ya umri wa Mugabe na mkewe wa sasa... Ina maana Mugabe akiwa na 41 ndio mkewe alikuwa anazaliwa, kwa jinsi ilivyo inawezekana mpenzi wako utakayemmudu hajazaliwa
 
Asante sana Mshana Jr. Umenigusa sana na nimepata darasa la kutosha.

Long live JF.
 
Angalia tofauti ya umri wa Mugabe na mkewe wa sasa... Ina maana Mugabe akiwa na 41 ndio mkewe alikuwa anazaliwa, kwa jinsi ilivyo inawezekana mpenzi wako utakayemmudu hajazaliwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila huyo mzee si wa kutolewa mfano, hajammudu kabisa mkewe hadi akataka kumhonga nchi
 
Back
Top Bottom