Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante saana Bro mwenye kushika atashika,,mwenye kujifunza ataj...za,
Duuuh no 4 aiseee kumbe hii ni hali inayo nikuta mie sana thanks a lot bro kunifumbua macho
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hii point ya 4 huwa nakutana nayo sana , hii hali haiwezi kwisha haraka kwa sababu huu ndio muda kijana anahitaji kufika kwenye malengo haraka na ndio muda unakutana na vikwazo vingiii
Angalia tofauti ya umri wa Mugabe na mkewe wa sasa... Ina maana Mugabe akiwa na 41 ndio mkewe alikuwa anazaliwa, kwa jinsi ilivyo inawezekana mpenzi wako utakayemmudu hajazaliwaMaana naishia kuumizwa tu ila huu uzi umenifanya niamini muda bado...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila huyo mzee si wa kutolewa mfano, hajammudu kabisa mkewe hadi akataka kumhonga nchiAngalia tofauti ya umri wa Mugabe na mkewe wa sasa... Ina maana Mugabe akiwa na 41 ndio mkewe alikuwa anazaliwa, kwa jinsi ilivyo inawezekana mpenzi wako utakayemmudu hajazaliwa
nahisi 4 ndo balaa, ila amesaidia kozi hali kama hiyo mwingine unaweza fikiri akili haiko sawa kumnbe ni makuzi tuIyo number 4 dah!!! imenigusa sanaa