Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Ushaur mzur lakin nasi tunataka tufahamu uhondo wa ngoma hatuna budi kuingia na kucheza
 
Maneno kama haya hayana maana yoyote.. Lakini ni maneno yanaweza kuchukuliwa kwa uzito mkubwa na kizazi cha umri huu tunaojadili hapa...
Mitandao ya kijamii ni mizuri lakini ni mibaya pia... Kuna upuuzi mwingi ndani yake
 
Mkurugenzi sawa kabisa
But
usitegemee kamwe katika miaka yako 26 umridhishe mwanamke wa 18-23 atakuwa anakuibia tuu.

Umeniacha mdomo wazi
 
Mkurugenzi sawa kabisa
But
usitegemee kamwe katika miaka yako 26 umridhishe mwanamke wa 18-23 atakuwa anakuibia tuu.

Umeniacha mdomo wazi
In most cases huo ndio uhalisia
 
Nyuzi muhimu i appriciate sio zile manyuzi eti kwa nini wasichana mara single mother sijui eti nilimgegeda nonsense wakat kuna vitu vingi vya kuisaidia jamii yetu ya waTanzania
 
Nyuzi muhimu i appriciate sio zile manyuzi eti kwa nini wasichana mara single mother sijui eti nilimgegeda nonsense wakat kuna vitu vingi vya kuisaidia jamii yetu ya waTanzania
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…