OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Shukrani sana bro.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NdioNdio maana uko macho?
Vzr ,vipi inaendelea kukusanya maoni ya wasifu wa wanaume wa iringa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].mimi nalala banaVzr ,vipi inaendelea kukusanya maoni ya wasifu wa wanaume wa iringa?
[emoji23] [emoji23] ,haya bana,mie niki lindo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].mimi nalala bana
vema sana kaka mkubwa
[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109] [emoji123] [emoji770] [emoji779] [emoji781]Mkuu mengi umeongea sawa na hasa kwenye kujiamini ni kitu cha msingi sana ili kujenga mustakabali chanya kwa kijana na hapa inabidi kuanzia ngazi ya familia na wazazi/walezi tuweke sana nguvu eneo la kuwajengea kujiamini vijana wetu
Kuwakatisha tamaa muda mwingi kwa maneno ya kuwavunja moyo kwa kuonyesha mapungufu ya labda muonekano, nafasi ktk jamii, maeneo tunapotoka, na badala yake tunapaswa kuwaonyesha unapoweka malengo na mkazo ktk mambo yako kila kitu kunawezekana haijalishi umetoka pande zipi,familia ipi,jinsia ipi,mwonekano upi NK
Asante mkuu kwa mada nzuri ya kujenga jamii ya kizazi kipya