Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume 18-30years

Mkuu mengi umeongea sawa na hasa kwenye kujiamini ni kitu cha msingi sana ili kujenga mustakabali chanya kwa kijana na hapa inabidi kuanzia ngazi ya familia na wazazi/walezi tuweke sana nguvu eneo la kuwajengea kujiamini vijana wetu

Kuwakatisha tamaa muda mwingi kwa maneno ya kuwavunja moyo kwa kuonyesha mapungufu ya labda muonekano, nafasi ktk jamii, maeneo tunapotoka, na badala yake tunapaswa kuwaonyesha unapoweka malengo na mkazo ktk mambo yako kila kitu kunawezekana haijalishi umetoka pande zipi,familia ipi,jinsia ipi,mwonekano upi NK

Asante mkuu kwa mada nzuri ya kujenga jamii ya kizazi kipya
 
vema sana kaka mkubwa

[emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji109] [emoji123] [emoji770] [emoji779] [emoji781]
 
.
4fcd787870bf65db80732ce237d23001.jpg
 
Back
Top Bottom